KARIBU SAME MEDIA GROUP SOON WE START TO UPLOAD NEW`S FROM SAME

KARIBU SAME MEDIA GROUP SOON WE START TO UPLOAD NEW`S FROM SAME

HISTORIA YA SAME KWA UFUPI

Wilaya ya Same

 

Wilaya ya Same ni wilaya moja kati ya wilaya 7 za Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 269,807.[1]
WIlaya hii imepakana upande wa kazkazini na Wilaya ya Mwanga na nchi jirani ya Kenya, upande wa kusini na Mkoa wa Tanga na upande wa magharibi na Mkoa wa Manyara. Makao makuu yapo Same Mjini.
Upande wa kusini ya Milima ya Pare upo ndani ya wilaya pamoja na sehemu ya Hifadhi ya Mkomazi.
Njia ya reli ya Usambara inapita wilayani. 

LOCATION HERE  



MKOMAZI NATION PARK  



KWA 
WAKATI HUU 
WANASEMA 
"SAME IS NOT A Same!"

UNAKARIBISHWA SAME MKOANI KILIMANJARO
 

Comments