Posts

Showing posts from June, 2019

KARIBU SAME MEDIA GROUP SOON WE START TO UPLOAD NEW`S FROM SAME

Image
KARIBU SAME MEDIA GROUP SOON WE START TO UPLOAD NEW`S FROM SAME HISTORIA YA SAME KWA UFUPI Wilaya ya Same   Wilaya ya Same ni wilaya moja kati ya wilaya 7 za Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania . Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 269,807. [1] WIlaya hii imepakana upande wa kazkazini na Wilaya ya Mwanga na nchi jirani ya Kenya , upande wa kusini na Mkoa wa Tanga na upande wa magharibi na Mkoa wa Manyara . Makao makuu yapo Same Mjini . Upande wa kusini ya Milima ya Pare upo ndani ya wilaya pamoja na sehemu ya Hifadhi ya Mkomazi . Njia ya reli ya Usambara inapita wilayani.  LOCATION HERE    MKOMAZI NATION PARK   KWA  WAKATI HUU  WANASEMA  "SAME IS NOT A Same!" UNAKARIBISHWA SAME MKOANI KILIMANJARO